エピソード

  • Je, Mkristo anapaswa kupokea Ekaristi Takatifu akiwa katika hali gani?
    2025/04/17

    Karibu katika Kipindi cha Maswali Imani ukiwa nami Frateri Erasto Mwanasindele, Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema. Je,Mkristo anapaswa kupokea Ekaristi Takatifu akiwa katika hali gani?

    L'articolo Je, Mkristo anapaswa kupokea Ekaristi Takatifu akiwa katika hali gani? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    28 分
  • Kwaresima ni kipindi cha namna gani katika maisha ya kiroho?
    2025/04/17

    Ungana nami Judith Mpalanzi katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S,Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akiendelea kutufundisha juu ya Kwaresima njia ya kutambua hazina ya Neno.

    L'articolo Kwaresima ni kipindi cha namna gani katika maisha ya kiroho? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    53 分
  • Ifahamu Liturujia ya Ijumaa Kuu.
    2025/04/15

    Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Fahamu wito wako, Mwezeshaji ni Padre Innocent Bahati Mushi kutoka Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, Jimbo Kuu la Arusha, akizungumzia juu ya Ijimaa Kuu.

    L'articolo Ifahamu Liturujia ya Ijumaa Kuu. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    54 分
  • Je, kwanini tunabatiza watoto wadogo?
    2025/04/15

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tunaungana na Frateri Erasto Mwanasindele kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea, akijibu swali hili kwanini tunabatiza watoto wadogo?

    L'articolo Je, kwanini tunabatiza watoto wadogo? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    24 分
  • Je, unafahamu mateso ya Mama Bikira Maria?
    2025/04/15

    Karibu katika kipindi cha Tafakari ya Bikira Maria, tukiungana na Padre Gideon Kitamboya kutoka Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, anatufundisha juu ya mateso ya Mama Bikira Maria.

    L'articolo Je, unafahamu mateso ya Mama Bikira Maria? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    28 分
  • Fahamu sifa 15 za akina mama katika Familia.
    2025/04/15

    Karibu katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, Mwezeshaji ni Padre Titus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu la Mwanza, akiendelea kutufundisha juu sifa 15 za akina mama na leo akifafanua kwa undani sifa ya 15.

    L'articolo Fahamu sifa 15 za akina mama katika Familia. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    58 分
  • Ifahamu njia ya kutambua hazina ya neno kipindi cha Kwaresima.
    2025/04/15

    Ungana nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S,Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akiendelea kutufundisha juu ya Kwaresima njia ya kutambua hazina ya Neno.

    L'articolo Ifahamu njia ya kutambua hazina ya neno kipindi cha Kwaresima. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    53 分
  • Kwanini Wakristo Wakatoliki huungama mbele ya Padre?
    2025/04/15

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tunaungana na Frateri Daudi Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali lililoulizwa na Msikilizaji akihoji kwanini sisi Wakristo Wakatoliki tunaenda kuungama kwa Padre wakati Padre naye ni Binadamu kama sisi?

    L'articolo Kwanini Wakristo Wakatoliki huungama mbele ya Padre? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    27 分