-
Je, Mkristo anapaswa kupokea Ekaristi Takatifu akiwa katika hali gani?
- 2025/04/17
- 再生時間: 28 分
- ポッドキャスト
-
サマリー
あらすじ・解説
Karibu katika Kipindi cha Maswali Imani ukiwa nami Frateri Erasto Mwanasindele, Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema. Je,Mkristo anapaswa kupokea Ekaristi Takatifu akiwa katika hali gani?
L'articolo Je, Mkristo anapaswa kupokea Ekaristi Takatifu akiwa katika hali gani? proviene da Radio Maria.