• This is Chimbo! with Eliak!m

  • 著者: Eliakimu Msihi
  • ポッドキャスト

This is Chimbo! with Eliak!m

著者: Eliakimu Msihi
  • サマリー


  • "This is Chimbo" with Eliak!m ni podcast inayozungumzia mambo ya teknolojia ya kidigitali, tunapitia stori mpya na jinsi teknolojia inavyogusa maisha yetu ya kila siku. Kama unapenda teknolojia, muziki, au unatafuta burudani tu, "Chimbo" ni sehemu yako ya kupata maudhui ya kuvutia na kufurahisha. Karibu tusonge pamoja kwenye safari ya teknolojia, muziki, na burudani katika kila episode!

    © 2024 This is Chimbo! with Eliak!m
    続きを読む 一部表示
activate_samplebutton_t1
エピソード
  • Ukweli Kuhusu INTANETI
    2024/08/17

    Je, unajua jinsi intaneti inavyofanya kazi? Umewahi kujiuliza kuhusu usalama wako mtandaoni? Sikiliza hadithi za kusisimua kuhusu matumizi ya intaneti, changamoto, na fursa zinazojitokeza. Furahia na ujifunze kwa njia ya burudani, huku tukikupa hadithi na ujuzi unaoweza kutumia mara moja. Huu ni ukweli kuhusu intaneti amabao hujawahi kuusikia kabla!

    続きを読む 一部表示
    5 分

あらすじ・解説


"This is Chimbo" with Eliak!m ni podcast inayozungumzia mambo ya teknolojia ya kidigitali, tunapitia stori mpya na jinsi teknolojia inavyogusa maisha yetu ya kila siku. Kama unapenda teknolojia, muziki, au unatafuta burudani tu, "Chimbo" ni sehemu yako ya kupata maudhui ya kuvutia na kufurahisha. Karibu tusonge pamoja kwenye safari ya teknolojia, muziki, na burudani katika kila episode!

© 2024 This is Chimbo! with Eliak!m

This is Chimbo! with Eliak!mに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。