『Skiza the podcast』のカバーアート

Skiza the podcast

Skiza the podcast

著者: thomas kelvin
無料で聴く

このコンテンツについて

Kila mtu hutamani kujua nini kimetokea kwenye industry lakini sio kila mtu mwenye muda na subira za kusoma au kuangalia video kusoma na kutazama machapisho mbalimbali, Skiza the podcast tunakusimulia matukio yote yanayotokea na kukuleta exclusive interviews na wasanii mbalimbali

Cha Kufanya ni kuwa na headphone zako na kusikiliza SKIZA THE PODCAST kwa taarifa na matukio yanayohusu burudani, teknolojia na lifestyle mbalimbali

thomas kelvin 2023
政治・政府 音楽
エピソード
  • Skiza T.k na DjJoozey
    2023/03/13

    T.k amemtafuta Dj Joozey na kuzungumza nae amewezaje kupiga mziki kwenye kilele cha mlima kilimanjaro ambapo ameiweka rekodi yake ya kuwa Dj wa kwanza kupiga mziki kwenye kilele cha mlima kilimanjaro

    続きを読む 一部表示
    5 分
  • skiza thomas na producer aloneyms
    2023/04/03
    hapa tumefanya mazungumzo na aloneyms kuhusiana na uaandaaji wa mziki na kiasi ambacho kwa sasa utamlipa kama msanii unataka kufanya nae kazi
    続きを読む 一部表示
    3 分
  • Skiza the podcast with Rolly Msouth (Madenge)
    2023/04/06
    Freestyle battle ambayo wakazi alisema hafanyi bila mtu kuweka millioni 10 mezani. Rolland akaweka alaf Wakazi haku respond kwenye battle na pia tumezungumzia new generation haina watu wanao freestyle na wao kama waasisi wanampango gani kuirithisha new generation
    続きを読む 一部表示
    8 分

Skiza the podcastに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。