『SURA YA 2-3. Tohara ni ya Moyo (Warumi 2:17-29)』のカバーアート

SURA YA 2-3. Tohara ni ya Moyo (Warumi 2:17-29)

SURA YA 2-3. Tohara ni ya Moyo (Warumi 2:17-29)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

“Tohara ni ya moyo.” Tunaokolewa pale tunapo amini kwa moyo. Yatupasa kuokolewa moyoni. Mungu anasema “tohara ni ya moyo katika roho si katika andiko ambayo sifa yake haitoki kwa wanadamu bali kwa Mungu” (Warumi 2:29). Yatupasa kuwa na ondoleo la dhambi. Ikiwa hatutokuwa nalo mioyoni mwetu basi ni bure tu. Mwanadamu ana “utu wa ndani” “na utu wa nje” na kila mtu inamlazimu kupokea ondoleo la dhambi ndani ya utu wake.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

SURA YA 2-3. Tohara ni ya Moyo (Warumi 2:17-29)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。