『SURA YA 11-2. Wokovu wa Watu wa Israeli』のカバーアート

SURA YA 11-2. Wokovu wa Watu wa Israeli

SURA YA 11-2. Wokovu wa Watu wa Israeli

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Kwa nini Mungu aliwatuma manabii wawili kwenda kwa watu wa Israeli? Mungu alifanya hivyo ili hasahasa kuwaokoa watu wa Israeli. Kifungu kikuu kinatueleza kwamba Mungu atawafanya mashahidi wake wawili kutabiri kwa siku 1,260. Hii inalenga kuwaokoa Waisraeli kwa mara ya mwisho. Kule kusema kwamba Mungu atawaokoa watu wa Israeli kuna maanisha pia kwamba wakati huo mwisho wa dunia utakuwa umefika.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

SURA YA 11-2. Wokovu wa Watu wa Israeliに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。