『8. Injili ya Upatanisho Ulio Tele (Yohana 13:1-17)』のカバーアート

8. Injili ya Upatanisho Ulio Tele (Yohana 13:1-17)

8. Injili ya Upatanisho Ulio Tele (Yohana 13:1-17)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Kwa nini Yesu aliosha miguu ya Petro siku moja kabla ya sikukuu ya Pasaka (Pasaka ya Wayahudi)? Alipokuwa anaosha miguu yake, Yesu alisema, “Hujui sasa, lakini utalifahamu baadaye.” Simoni Petro alikuwa bora kati ya wanafunzi wa Yesu. Alikuwa na imani kwamba Yesu alikuwa Mwana wa God na alishuhudia kwamba Yesu alikuwa Kristo. Na Yesu alipoosha miguu yake, lazima kulikuwa na sababu nzuri ya kufanya hivyo. Wakati Petro alipokiri imani yake kwamba Yesu alikuwa Kristo, ilimaanisha kwamba aliamini Yesu kuwa Mwokozi ambaye angemwokoa kutokana na dhambi zake zote.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

8. Injili ya Upatanisho Ulio Tele (Yohana 13:1-17)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。