『4. Wale walio na imani sawa na Mitume (Matendo 3:19)』のカバーアート

4. Wale walio na imani sawa na Mitume (Matendo 3:19)

4. Wale walio na imani sawa na Mitume (Matendo 3:19)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Kwa kuangalia wafuasi wa Yesu Kristo kiwango cha imani zao walipokuwa na Roho Mtakatifu ndani yao ni tofauti kabisa na imani zao walipokuwa hawajawa na Roho huyo. Miili yao haikuonekana kuwa tofauti lakini baada ya kumpoke Roho Mtakatifu maisha yao yalibadilika kabisa kwa nuru ya Yesu Kristo.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

まだレビューはありません