『Je, madhehebu mengine ambao hawabatizwi hawawezi kuokoka?』のカバーアート

Je, madhehebu mengine ambao hawabatizwi hawawezi kuokoka?

Je, madhehebu mengine ambao hawabatizwi hawawezi kuokoka?

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, Swali linalojibiwa Leo linauliza hivi; Bwana wetu Yesu Kristo alisema, atakayenikiri na kubatizwa kwa jina langu, ndiye atakayeokoka. Je kwa madhehebu au dini nyingine mathalani ndugu zetu waislamu ambao huwa hawabatizwi hawawezi kuokoka? Majibu yanatolewa na Frateri Renatus Kazimoto anayefanya utume Parokia ya Bikira Maria msaada wa Wakristo […]

L'articolo Je, madhehebu mengine ambao hawabatizwi hawawezi kuokoka? proviene da Radio Maria.

Je, madhehebu mengine ambao hawabatizwi hawawezi kuokoka?に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。